Zab. 117 Swahili Union Version (SUV) Haleluya.Enyi mataifa yote, msifuni BWANA,Enyi watu wote, mhimidini.