Zek. 9:15 Swahili Union Version (SUV)

BWANA wa majeshi atawalinda;Nao watakula na kuyakanyaga mawe ya teo;Nao watakunywa na kufanya kelele kama kwa divai;Nao watajazwa kama mabakuli, kama pembe za madhabahu.

Zek. 9

Zek. 9:10-17