Na BWANA, Mungu wao, atawaokoa siku hiyo,Kama kundi la watu wake;Kwa maana watakuwa kama vito vya taji,Vikimeta-meta juu ya nchi yake.