Naye BWANA ataonekana juu yao,Na mshale wake utatoka kama umeme;Na Bwana MUNGU ataipiga tarumbeta,Naye atakwenda kwa pepo za kisulisuli za kusini.