Ee BWANA, ubariki mali zake,Utakabali kazi ya mikono yake;Uwapige viuno vyao waondokao juu yake,Na wenye kumchukia, wasiinuke tena.