Akamnena Benyamini,Mpenzi wa BWANA atakaa salama kwake;Yuamfunika mchana kutwa,Naye hukaa kati ya mabega yake.