Watamfundisha Yakobo hukumu zako,Na Israeli torati yako,Wataweka uvumba mbele zako,Na sadaka nzima za kuteketezwa madhabahuni mwako.