Kum. 33:9 Swahili Union Version (SUV)

Aliyemtaja baba yake na mama yake, Mimi sikumwona;Wala nduguze hakuwakubali;Wala hakuwajua watoto wake mwenyewe;Maana wameliangalia neno lako,Wamelishika agano lako.

Kum. 33

Kum. 33:1-14