Akamnena Lawi,Thumimu yako na Urimu yako vina mtakatifu wako,Uliyemjaribu huko Masa;Ukateta naye kwenye maji ya Meriba.