Isa. 60:19 Swahili Union Version (SUV)

Jua halitakuwa nuru yako tena wakati wa mchana,Wala mwezi hautakupa nuru kwa mwangaza wake;Bali BWANA atakuwa nuru ya milele kwako,Na Mungu wako atakuwa utukufu wako.

Isa. 60

Isa. 60:10-22