Jua lako halitashuka tena,Wala mwezi wako hautajitenga;Kwa kuwa BWANA mwenyewe atakuwa nuru yako ya milele;Na siku za kuomboleza kwako zitakoma.