Isa. 60:21 Swahili Union Version (SUV)

Watu wako nao watakuwa wenye haki wote,Nao watairithi nchi milele;Chipukizi nililolipanda mimi mwenyewe,Kazi ya mikono yangu mwenyewe,Ili mimi nitukuzwe.

Isa. 60

Isa. 60:11-22