Jeuri haitasikiwa tena katika nchi yako,Ukiwa na uharibifu hazitakuwa mipakani mwako;Bali utaziita kuta zako, Wokovu,Na malango yako, Sifa.