Badala ya shaba nitaleta dhahabu,Na badala; ya chuma nitaleta fedha,Na badala ya mti, shaba,Na badala ya mawe, chuma;Tena nitawafanya wasimamizi wako wawe amani,Na hao wakutozao fedha kuwa haki.