Na katika siku hiyo utasema,Ee BWANA, nitakushukuru wewe;Kwa kuwa ijapokuwa ulinikasirikia,Hasira yako imegeukia mbali,Nawe unanifariji moyo.