Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu;Nitatumaini wala sitaogopa;Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu;Naye amekuwa wokovu wangu.