Hata ukiruka juu kama tai,ukafanya makao yako kati ya nyota,mimi nitakushusha chini tu.Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.