Obadia 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kama wezi au wanyang'anyi wangekujia usiku,je, wasingechukua tu kiasi cha kuwatosha?Ikiwa wavunaji zabibu wangekujia,je, wasingekuachia kiasi kidogo tu?Lakini wewe, adui zako wamekuangamiza kabisa.

Obadia 1

Obadia 1:1-7