Obadia 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Kiburi chako kimekudanganya:Kwa kuwa mji wako mkuu ni ngome ya miamba imarana makao yako yapo juu milimani,hivyo wajisemea,‘Nani awezaye kunishusha chini?’

Obadia 1

Obadia 1:2-13