Na haki yako, Ee Mungu,Imefika juu sana.Wewe uliyefanya mambo makuu;Ee Mungu, ni nani aliye kama Wewe?