Na hata nikiwa ni mzee mwenye mvi,Ee Mungu, usiniache.Hata niwaeleze watu wa kizazi hiki nguvu zako,Na kila atakayekuja uweza wako.