Wewe, uliyetuonyesha mateso mengi, mabaya,Utatuhuisha tena.Utatupandisha juu tenaTokea pande za chini ya nchi.