Zab. 30:1 Swahili Union Version (SUV)

Ee BWANA, nitakutukuza kwa maana umeniinua,Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.

Zab. 30

Zab. 30:1-4