Hakika nimeituliza nafsi yangu,Na kuinyamazisha.Kama mtoto aliyeachishwaKifuani mwa mama yake;Kama mtoto aliyeachishwa,Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu.