BWANA, moyo wangu hauna kiburi,Wala macho yangu hayainuki.Wala sijishughulishi na mambo makuu,Wala na mambo yashindayo nguvu zangu.