Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema,Na kukawia kwenda kulala,Na kula chakula cha taabu;Yeye humpa mpenzi wake usingizi.