Kama vile macho ya watumishiKwa mkono wa bwana zaoKama macho ya mjakaziKwa mkono wa bibi yake;Hivyo macho yetu humwelekea BWANA, Mungu wetu,Hata atakapoturehemu.