Maana ulinitupa vilindini,Ndani ya moyo wa bahari;Gharika ya maji ikanizunguka pande zote;Mawimbi yako yote na gharika zako zote zimepita juu yangu.