Nami nikasema, Nimetupwa mbali na macho yako;Lakini nitatazama tena kukabili hekalu lako takatifu.