Nena, BWANA asema hivi,Mizoga ya watu itaangukakama samadi juu ya mashamba,Na kama konzi ya ngano nyuma yake avunaye,wala hapana mtu atakayeikusanya.