Kwa maana mauti imepandia madirishani mwetu,imeingia majumbani mwetu;Ipate kuwakatilia mbali watoto walio nje,na vijana katika njia kuu.