Lakini lisikieni neno la BWANA, enyi wanawake,Na masikio yenu yapokee neno la kinywa chake;Mkawafundishe binti zenu kuomboleza,Na kila mmoja jirani yake kulia.