Sulemani alikuwa na shamba la mizabibu huko Baal-hamomiAkawakodisha walinzi hilo shamba lake la mizabibu;Kila mtu atoe vipande elfu vya fedha kwa matunda yake.