Mimi nalikuwa ukuta,Na maziwa yangu kama minara;Ndipo nikawa machoni pakeKama mtu aliyeipata amani.