Kama akiwa tu ukuta,Tumjengee buruji za fedha;Na kama akiwa ni mlango,Tumhifadhi kwa mbao za mierezi.