Shamba langu la mizabibu, lililo langu mimi, li mbele yangu.Basi, Sulemani, wewe uwe na elfu zako,Na hao wayalindao matunda yake wapewe mia mbili.