Miguu yake ni kama nguzo za marimari,Zilizowekwa juu ya misingi ya dhahabu;Sura yake ni kama Lebanoni,Ni bora mfano wa mierezi;