Mikono yake ni kama mianzi ya dhahabu,lliyopambwa kwa zabarajadi;Kiwiliwili chake kama kazi ya pembe,Iliyonakishiwa kwa yakuti samawi;