Mashavu yake ni kama matuta ya rihani,Ambayo hufanyizwa manukato;Midomo yake ni kama nyinyoro,Inadondoza matone ya manemane;