Meno yako ni kama kundi waliokatwa manyoya,Wakipanda kutoka kuoshwa,Ambao kila mmoja amezaa mapacha,Wala hakuna aliyefiwa kati yao.