Tazama, u mzuri, mpenzi wangu,U mzuri, macho yako ni kama ya hua,Nyuma ya barakoa yako.Nywele zako ni kama kundi la mbuzi,Wakijilaza mbavuni pa mlima Gileadi.