Midomo yako ni kama uzi mwekundu,Na kinywa chako ni kizuri;Mashavu yako ni kama kipande cha komamanga,Nyuma ya barakoa yako.