Ufu. 22:9 Swahili Union Version (SUV)

Naye akaniambia, Angalia, usifanye hivi; mimi ni mjoli wako, na wa ndugu zako manabii, na wa wale wayashikao maneno ya kitabu hiki. Msujudie Mungu.

Ufu. 22

Ufu. 22:1-12