Ufu. 22:10 Swahili Union Version (SUV)

Akaniambia, Usiyatie muhuri maneno ya unabii wa kitabu hiki, kwa maana wakati huo umekaribia.

Ufu. 22

Ufu. 22:9-12