Ufu. 22:8 Swahili Union Version (SUV)

Nami Yohana ndimi niliyeyasikia na kuyaona mambo hayo. Na hapo nilipoyasikia na kuyaona nalianguka, ili nisujudu mbele ya miguu ya malaika yule mwenye kunionyesha hayo.

Ufu. 22

Ufu. 22:3-13