Ufu. 16:13 Swahili Union Version (SUV)

Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.

Ufu. 16

Ufu. 16:6-14