Ufu. 16:14 Swahili Union Version (SUV)

Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.

Ufu. 16

Ufu. 16:6-17