Ufu. 16:12 Swahili Union Version (SUV)

Na huyo wa sita akakimimina kitasa chake juu ya mto ule mkubwa Frati; maji yake yakakauka, ili njia itengenezwe kwa wafalme watokao katika maawio ya jua.

Ufu. 16

Ufu. 16:3-15