Kijana na mzee hulala chiniKatika njia kuu;Wasichana wangu na wavulana wanguWameanguka kwa upanga;Umewaua katika siku ya hasira yako;Umeua, wala hukuona huruma.