Tazama, BWANA, uangalie,Ni nani uliyemtenda hayo!Je! Wanawake wale mazao yao,Watoto waliowabeba?Je! Kuhani na nabii wauaweKatika patakatifu pa Bwana?